Mtibwa Sugar FC

Name
Mtibwa Sugar FC
Top 1000 popularity rank
#272 (all time)#124 (last two weeks)
Recent visitors
39
Region
Morogoro

Historia fupi ya Mtibwa

2.8/5( 891 votes )( 2706 reads )

2008-04-04 18:38:26
Mtibwa Sugar Sports Club inayopatikana katika wilaya ya Mvomero takribani kilomota mia moja (100) kutoka Morogoro mjini ilianzishwa na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa. Madhumuni ya awali ilikuwa kushiriki ligi katika ngazi ya wilaya na kutoa burudani kwa wafanyakazi. Mnamo mwaka 1989 timu ya mpira wa miguu ya mtibwa Sugar ilianza kushiriki ligi daraja la nne (4th division league) na kupanda ngazi kwa ngazi hadi daraja la kwanza mnamo mwaka 1996. Mashindano ya ligi daraja la kwanza

Mtibwa Club History

2.7/5( 511 votes )( 1136 reads )( 1 translations )

2008-04-04 18:35:50
Mtibwa Sugar Sports Club which is located in Mvomero district about 100 kms from Morogoro region, was formed in 1988 by a group of workers of Mtibwa Sugar Estates Ltd who decided to form a football team which will take part in league competitions in district level. The team started playing in 4th division league in 1989 and steadily climbed up the ladder of success which saw the team finally getting a promotion to first division league in 1996. The league was restructured in 1998 and became Prem

Kikosi cha Mtibwa Sugar FC - 2007

2.6/5( 339 votes )( 1092 reads )

2007-10-11 21:59:44
GK Mengi Matunda DF Dickson Daudi DF Issa Kassim DF Geoffrey Magori DF Mecky Maxime DF Ibrahim Mwaipopo DF Salum Swedi MF Shaban Nditi MF Nizar Khalfan FW Abdallah Juma FW Kudra Omari FW Monja Liseki FW Omari Matuta
Mtibwa Sugar FC
P.O. Box 42
Mtibwa
Morogoro
Telepone: 232620019

Comments

Tanzania football league table for the season 2017-04-28 14:44:34

1 SIMBA 27 44 59
2 YOUNG AFRICANS 25 50 56
3 AZAM 27 31 46
4 KAGERA SUGAR 26 28 46
5 MTIBWA SUGAR 27 26 37
6 STAND UNITED 28 22 35
7 MWADUI 27 29 35
8(+1) RUVU SHOOTING 27 25 32
9(+1) PRISONS 27 14 31
10(-2) AFRICAN LYON 27 18 31
11(+1) MBEYA CITY 27 23 30
12(+1) MBAO 27 26 30
13(-2) NDANDA 28 20 30
14(+1) TOTO AFRICANS 26 19 26
15(+1) MAJI MAJI 27 21 26
16(-2) JKT RUVU 27 14 24
Tanzania football league table for the season

Tanzania Football League Fixtures

Proverb of the Day

Manahodha wengi chombo huenda mrama.

Statistic of the Day

Lake Victoria is 3rd largest lake in the world with a size of 69,000 sq kilometers.
Members

Language

Country Regions

cache/index/indexSPORTS_REC1395.html