![]() |
Umati wa wananchi wa Goba kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na CCM Mkoa wa Dar es salaam. |
![]() |
Mtela Mwampamba akihutubia wananchi wa Goba sababu zilizomfanya ajiunge na chama cha CCM. |
![]() |
Juliana Shonza aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA,akihutubia wakazi wa Goba |
![]() |
Mwenyekiti wa CCM ,Mkoa wa Dar es salaam akihutubia wananchi wa Goba katika mkutano wa hadhara uliofanyika |
![]() |
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Goba,Theresia Chihota akiukaribisha ugeni kutoka CCM Mkoa wa Dar es salaam na CCM Taifa ambao walifika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Goba |
![]() |
Sura za furaha zinazoashiria jimbo la Ubungo linarudi CCM |
![]() |
Profesa Jumanne Maghembe akihutubia wakazi wa Goba na kuto majibu ya kuridhisha kuhusu mikakati na mipango ya kuleta maji Goba. |
When do people actually work, it seems they are rounded up to attend rallies of CCM, Chadema or CUF. Can the Dept of Economics at UDSM make some costings on how much is been lost by the Nation. I cannot believe it, this is going on and on and on and the poor people don't complain at all? Personnaly I wouldn't attend to listen to any crap,they will have to take me to court for that.
ReplyDeleteWatu wangeachwa wafanye kazi, lakini inaonekana kila siku lazima waende kwenye mkutano huu au ule, jamani nchi haijengwi kwa mikutano.
ReplyDelete
ReplyDeletemimi ndiyo maana nasema kila siku Western democracy , liberal democracy or any brand of democracy does not work in Africa. It is counter-developmental, we need a good authoritarian authority, mpe nch hii Dr. Mwakyembe uone au mpe Dr. Magufuri, vyama vya siasa vyote vinapoteza muda na pesa kwenye mikutano na hili linatugharimu sana kwa maendeleo ya nchi.
wangekuwa na kazi na elimu ya kujua kutumia muda wao wasinge udhuria mikutano hii ya kilasiku.
ReplyDelete
ReplyDeletePlease the first anony,,, ur also writing crap don't u know that people are jobless back in Tanzania they hardly leave in difficult life and by attending those rallies they get paid at least something in fact those uniforms are also provided free of charge,,,,
Am sure an employed person will never waste time with such nonsense rallies
Alafu na hii tabia ya hawa wanasiasa, ya kugawagawa tuzawadi tudogotudogo, ni ujinga huu, twa utu tuzawadi, nchi yenye maendeleo haifanyi hivi, inafaidisha wanachi wake wote, kama huduma kwa jamii, na kusaidia jamii, hutu tuzawadi ni kutaka waendelee kuwachagua, kwa manuufa yao
ReplyDeleteJamani hizi siasa vipi, ndio zimekua kazi, au ajila eeee!!!!! mboni kazi, kila kukicha hamna shughuli, shughuli zenyewe ndio hizi hizi, sasa utajiuliza hawa watu wanafanya kazi saa ngapi? na wanapata wapi? vipato vya kujikimu mahitaji yao? hahaha hili bara kazi kweli kweli, mpaka lione mwanga
ReplyDeleteSiasa Ajira !
ReplyDeleteKiongozi Mtoa maoni wa kwanza kama wenzangu wanavyosema hpao juu, wengi wamepigika kimaisha, hivyo wanapo hudhuria wanapata chochote hapo kama ujuavyo kuna fungu la Ruzuku za Chama na angalau AHADI ZA MAISHA BORA!
Siasa Ajira !
ReplyDeleteKiongozi Mtoa maoni wa kwanza kama wenzangu wanavyosema hpao juu, wengi wamepigika kimaisha, hivyo wanapo hudhuria wanapata chochote hapo kama ujuavyo kuna fungu la Ruzuku za Chama na angalau AHADI ZA MAISHA BORA!
Mtu unalazimika kwenda hata kama unaumwa!
ReplyDeleteSi mmeshaona watu hadi wanazirai kwenye mikusanyiko?
Vikao na Mikusanyo kama hivi vya Ki-chama, usipo hudhuria utanyooshewa vidole na kutengwa!