Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
TAZAMA TUNDU LISSU AKIONDOLEWA MAHAKAMANI, KESI ZAKE HADI...
6Likes
2,168Views
Jun 162025
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu ameondolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kesi zake zinazomkabili kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers