Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
WAZIRI MCHENGERWA AITUMIA UJUMBE TBA KWA MIRADI YA MAENDELEO SIMIYU
1Likes
161Views
Jun 162025
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameipongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kutekeleza kwa mafanikio miradi ya ujenzi ya TAMISEMI. Akizungumza wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Simiyu, ambapo alizindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mchengerwa amesema ufanisi wa TBA ni ishara ya utekelezaji mzuri wa maono ya Serikali ya awamu ya sita.

Follow along using the transcript.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers