Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
'CHAGUENI VIONGOZI WAADILIFU, WATAKAOPIGANIA MASLAHI YA UMMA'
Shura ya Maimamu Tanzania, kupitia mapendekezo yake ya kisiasa, imewataka Waislamu kote nchini kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 2025, na kuwachagua viongozi wenye sifa za uadilifu, ujuzi, na historia ya kutetea na kutumikia maslahi ya umma. Katibu wa Shura hiyo, Sheikh Issa Ponda amesema wito huo unalenga kuhamasisha mabadiliko chanya katika uongozi wa ngazi mbalimbali, kwani kufanya hivyo ni msingi wa kuboresha maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo ya Taifa kwa ujumla.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers
Chat Replay is disabled for this Premiere.