Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
#TBC DIGITAL: SIRI YA WANAUME WA KISIWANI PEMBA KWENDA SOKONI NA SI WANAWAKE KAMA TANZANIA BARA
21Likes
2,807Views
Jan 62025
Sherehe za miaka 61 za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar safari hii zinafanyika kisiwani Pemba. Kama hujui, kisiwani humo wanaume ndio wanakwenda kununua vitu sokoni, ambako wao wanaita marikiti, na si wanawake kama huku bara.

TBConline

463K subscribers