Mchungaji wa kanisa linalojulikana kwa jina la Calnel Centre Mchungaji Elia Ambakisye Jongo alijikuta katika mzozo mkali na aliyedai kuwa ni mke wake baada ya kumtuhumu kuwa ni mchawi.
|
Sabina Lameck mke wa mchungaji anaedaiwa kuachwa sababu ya uchawi |
Katikati mama mzazi wa mchungaji Elia Jongo wakiwa katika kikao hicho |
Baadhi ya wazee wa kanisa wakiwa makini kusikiliza kisa hicho |
Huyu ndiye muumini wa kanisa hilo anayedaiwa kutaka kuolewa na mchungaji Elia pia muumini huyu ni mzee wa kanisa hilo |
Mchungaji Elia na dada yake wakiwa makini kumsikiliza mchawi wake |
Askofu wa kanisha hilo Pasta Lugito |
Heheh, "huduma ya ibada inavurugwa kwa uganga"
ReplyDeleteHuu uchuro sasa.
very so sad.
ReplyDeleteHivi matukio haya ya ajabu ajabu kwanini yanatokea sana Mbeya???
ReplyDeleteKuchuna ngozi, baba kulala na mtoto wake, wachungaji kuchawi..
Mbeya kuna ushirikina mwingi au ni habari zao zinajulikana zaidi?
HII INAWEZEKANA MBEYA TU,
ReplyDeleteMBONA BIBI HARUSI MTARAJIWA "MZEE" WA KANISA ANAONEKANA KIJANA SANA?
Nani mwenye nguvu Mungu au Mganga. Wewe mchungaji sisi waumini wa kanisa lako tuamini nini?
ReplyDeleteUlitakiwa umshinde shetani kwa nguvu za bwana. Sasa unamuogopa mganga.
SHAME na wewe ni shirikina tu!!!!!!!!
huyu mchungaji commitment ZERO
ReplyDeleteSasa inakuwaje mchungaji anashiriki katika imani za kishirikina? Hii sijaipenda kabisa kwa kweli
ReplyDeleteKama Biblia inasema ndoa ya kikristu ni mke mmoja mume mmoja, hakuna talaka.............. hapo mchungaji ametumia kifungu gani.
ReplyDeleteWAKATI MWINGINE NAKUBALI WAKATOLIKI WALIONA MBALI, HAWA WACHUNGAJI HAWATUPI MIFANO BORA YA NDOA... NA WAANDISHI ALIWAITA ILI DUNIA IJUE KUWA MKEWE NI MCHAWI... JE SI ANGEMPIGA MAOMBI YA UPAKO UCHAWI UTOKE?
Dunia inakoelekea siko jamani, kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo ya Mungu kama mtu ni mshirikina wewe mwenye nguvu ya Mungu utaonyeshwa na kuomba ili huyo mtu ashindwe kukufanyia ubaya na sio kusemana hadi vikaoni. Mchungaji kwa hekima angeliombea kwa kuwashirikisha watumishi wachache na hatimaye lingeisha na sio vikao hadi watanzania wote tunajua. Nina mashaka na uchungaji wake cause hata jengo la kanisa linatia mashaka, wote watubu na kuanza upya.
ReplyDeleteMungu wangu weee.. haya makanisa yalivyokuwa siku hizi....Utotoni nilifundishwa kuwa Yesu ni kiboko ya wachawi wote na Mchungaji anayetumiwa na Mungu hawezi kutetemeshwa na nguvu za giza(wachawi na waganga) lakini siku hizi hawa wachungaji ndo wao tunawasikia ktk kuendekeza ndumba. Bwana asifiwe sana.. Bring back the good old evangelical churches.
ReplyDeletehizo ndio athari za nyumba ndogo,badilisheni sheria mruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja...haisaidii kusingizia uchawi...kinachonekana ni mchungaji kamtelekeza mke wa kwanza sababu ya kitu kimpya wanachokutana ktk uzee wa kanisa.
ReplyDeleteMbombo ngafu...
ReplyDeleteHizi ni dalili za siku za mwisho. Na hapa tunaona kwamba maandiko yanatimia. Jamani tutubu. Mungu na aturehemu. "Mchungaji" umetia aibu kweli kweli. Jamani haya mambo yanaonyesha ni vipi huyu Mchg hamjui yule anayemtumikia, yeye ni Mungu mkuu na wala hashindwi na uchawi, sasa wewe Kiongozi wa kanisa kama unamwogopa mchawi, utawasaidia vipi waumini wako? Bwana Yesu tusaidie!!!
ReplyDeleteJamani kweli nami naungana na wachangiaji wa hapo juu kwamba tunaishi siku za mwisho na karbu YESU anakuja kuhuku watu maana ni aibu kubwa eti mchungaji anavunja ndoa yake kwa sababu ya mke mshirikina?
ReplyDeleteMchungaji kumbuka kiapo kwamba ulisema hutaachana na mama huyo kwa namna yeyote ile mpaka mauti itakapowatenganisha.
Sasa je umekufa? Unataka kuacha mke kwa kisingizio cha ushirikina?
Uliomba na kufunga kwasababu ya tatizo la mkeo?
We mchungaji gani unayeogopa ushirikina unahubiri nini sasa?
Wwe sema una agenda ya siri unataka kabinti hako eti kamzee wa kanisa?
Naungana na wenzangu kwamba WOTE MMENGAUKA NA MKATUBU NA MREJEE KWA YESU
MCHUNGAJI UKABATIZWE UPYA NA MAMA MCHAWI NA HUYOANAYETAKA KUOLEWA
AHENI VIKAO VYA KIPUMBAVU
Da. tatizo la hawa jamaa, wakristo,madhehebu yamezidi sas, kila mtu ananzisha kanisa lake, na kujita mchungaji, hata, shule ya uchungaji hana, akiweka matulubai basi, kanisa hilo. hata mimi ni mkristo lakini naion, hii haijakaa sawa, makanisa kila kukicha, serkali idhibit haya makanisa holela,, angalia sasa hapo, jamii inajifunza nini?
ReplyDeleteEheee Mchungaji,
ReplyDeleteHapo penye nguvu za kiza si ndio pa kuonyesha uwezo wako Kiimani sasa?
Mchungaji acha Usanii!
ReplyDeleteMwogope Mwenyezi,
Kwa nini usiseme ya kuwa mwanamke anayeitwa Mzee wa Kanisa unayetaka kumuoa analipa?
Ni wazi umemuona Mwanamke Mzee wa Kanisa ni mzuri zaidi ya mkeo,
Na ni kuwa umemtafutia sababu mkeo kumwacha ili uwe huru Kumuoa yeye!
Wewe, wewe, wewe Mchungaji Jongo sema tu ya kuwa umetaka kubadilisha ladha na umetaka 'kuosha jando' tu na ndio nia yako haswa!!!
ReplyDeleteJamani mmeona Wachungaji Vibwetere walivyokuwa wengi kwa sasa?
ReplyDeleteLohhh Mchungaji unamsaliti Mkeo halali kwa Mipango namna hiyo?
ReplyDeleteYa nini tabu yote hiyo?
Kweli umeshuka kiimani 'UKATEMA BIG-G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA'?
Si ungehamia kwenye Imani zingine zinazoruhusu Mke zaidi ya mmoja?
Mchungaji umewakatisha tamaa Waumini wengi sana!
ReplyDeleteSi ungetumia mwamko wa Kiimani ili kukabiliana na Uchawi huo?
Habari hii inafaa iende kwenye 'magazeti-pendwa'
ReplyDelete