Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2013

    leo ni july 3? naona kuna typing error

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2013

    jk must have cracked a joke

    ReplyDelete
  3. mutabarukaJuly 02, 2013

    It start to smell fish now. Bush went Tanzania when he was president, then Obama went to Tanzania, and now Bush and Blair's wife are back in Tanzania. Why Tanzania? Why not Burkina Faso, or Ethiopia or Malawi, etc etc?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2013

    This isn't individual personal interest,this country interested.is not abt Obama or Bush/republicans or democrats

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2013

    I love your answer!! It is not personal interest it is all in the name of DEMACRACY. we love visitors, we love people all in all we are a great country. Karibuni wageni woooote nchini kwetu Tanzania. KARIBUNI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2013

    That's all about it we are a peace country suppose to that's why wageni they see safety here atleast for now God forbid

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2013

    wanapenda nchi yetu kwasababu.SISI watanzania nchi yetu tuna Amani sana na tunawapenda wageni wanchi zooooooote Sisi watanzani Hatuna Ukabila wala Udini Tunawapenda Watu woote na tuna Amani yakutosha sio kama watani zetu wenye roho mbaya na ukabila uliokidhiri na ubinafsi na chuki wivu roho mbaya n.k n.k Tanzania hoyeeeeeeeeeeeeeeeee tutazidi kutembelewa na mataifa makubwa mpaka mjinyonge mpende msipende watakuja tu OBAMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE WELCOME BACK

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2013

    Hahahaha Mdau wa 7 Majirani wana chuki sana na sisi!

    Tazameni Gazeti lao la THE EAST AFRICAN wiki itakayokuja muone watakavyo andika.

    Ktk dunia hii ya Mwenyezi usije kuomba kukutana na mtu mwenye sifa hizi halafumikatokea mambo anavyotaka iwe yasitokee:

    1.Mtu anayekudharau,
    2.Huyo huyo anayekudharau awe ana kuchukia,
    3.Huyo anayekudharau na kukuchukua asiwe na kile ulicho jaaliwa nacho wewe mdharauliwa,

    Dalili hizo mbili wanazo JIRANI WETU HAO WA KASKAZINI MASHARIKI wanaojiita wenye UCHUMI MKUBWA KTK AFRIKA YA MASHARIKI HUKU WAKIWA RASILIMALI HAWANA.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2013

    Kenya mtakufa nacho kijiba cha roho!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...