Aina: Diahatsu Terios, 1998
DVD player na A/C
Nimeendesha gari hili kwa miaka mitatu jijini Dar peke yake
Bei: $4400
Ukitaka, pigie: 0767 866 891

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2013

    Mdau wangu sijui kama utauza kwa bei hiyo, Halafu tanngazo lako lime miss details nyingi sana [hajujui lina KM ngapi, la mwaka gani, AT au Manual, n.k] Pia kwa bei hiyo naweza kuagiza kwa US$ 2400 CIF DAR, so katika bei yako nikiongeza US$ 500 tu napata gari toka Japan ambalo nimelipia cost zote na ambalo halijatembea miaka mitatu Dar... Ushauri wangu ni kwamba punguza hiyo bei mimi nadeal na magari, najua bei zake hauwezi kuuza kwa bei hiyo labda umpate mtu aliyetoka mkoa na hajui chochote kuusu bei za magari

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2013



    Terios hiyo ndio NDOA YA KIKRISTO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...