Home
Unlabelled
PARACHICHI NI MFALME NA MALKIA WA VYAKULA - FREDDY MACHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu watafanya anything to remain in the limelight.
ReplyDeleteI will send mine next week about matobolwa, ntwili and nsansa.
Sawa Fredd ,tunakubali lakini bona mwili unahitaji mchanganyiko wa vyakula ,matunda na mboga mboga mbali mbali,kwa kuwa parachichi umesema ndio mflame wa vyakula kwa sisi watu wa pwani tulikua na vyakula vyetu kabla ya parachichi kuja,
ReplyDeleteLabda kijijini kwenu Parachichi lilikua poneo la njaa,
Kila chakula na tunda ni mflame na muhimu kwa mwanadamu.
Mdau
Kalagabao
mbeba box U.K
Hilo parachichi sasa ni bei mbaya huku TZ kwa kulitangaza tangaza. Wewe huko Ughaibuni uko kwenye benefit kila kitu unakula kwa kuchagua sisi huku kama hujafanya kazi huli!!
ReplyDeleteasante kaka,tuletee zingine
ReplyDelete