Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. huu ni ujinga na uchafu,kisu hicho hicho cha jikoni,definetly hakijawa sterilised ukikatwa utadai aje?,y risking dat much?

    ReplyDelete
  2. No thank you.

    ReplyDelete
  3. ndio maana ukimwi hauishi sababu ya ujinga kama huu!

    ReplyDelete
  4. Kinyozi huyo haraka apimwe akili!

    ReplyDelete
  5. Wanaonyolewa pia wajinga.

    ReplyDelete
  6. Anayenyolewa na kinyozi wake wanatakiwa kupimwa akili.

    ReplyDelete
  7. Anatuma zana alizonazo mathali anasterilize nothing wrong with that give him credit being creative

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...