Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini IGP Ernest Mangu wakati IGP alipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa
lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na
uhalifu.Katikati ni Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Mwamini
Malemi (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akisalimiana
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (DIGP) Abdulrahman Kaniki (kulia) na Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani
Bi. Mwamini Malemi wakati IGP alipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa
lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na
uhalifu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akizungumza
na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman Kaniki wakati
Viongozi hao wa Jeshi la Polisi walipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa
lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na
uhalifu.Katikati ni Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Mwamini
Malemi .
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akisalimiana na
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini DIGP Abdulrahman Kaniki wakati alipokwenda kujitambulisha ofisini
kwake kwa lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na
kupambana na uhalifu.DIGP.
Nimependa fenicha za office ya Katibu mkuu huyu...wote tukiwa na moyo wa kuunga mkono 'made in Tanzania' upande wa fenicha hakika tutawasadida vijana wetu wasio na ajira.
ReplyDeleteKwanza mafenicha ya mchina ni maboksi yanaharibika kirahisi sana...