Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi la Benki ya Azania Tawi la Lamadi huku akishuhudiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Azania Bwana William Erio (wa pili kushoto). 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Azania Bwana William Erio(kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Bwana Charles Singili (kulia) wakifurahia hatua ya uwekaji wa jiwe la msingi kwa uzinduzi wa Benki ya Azania Tawi la Lamadi tarehe 01/12/2013. 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Azania Bwana William Erio(wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Bwana Charles Singili(kushoto) wakikata utepe kuzindua rasmi Benki ya Azania Tawi la Lamadi . Kulia nia mkuu wa Mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti.
Awali mara tu baada ya kuwasilia katika eneo la tukio Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, alisalimiana na wadau wa Benki ya Azania Tawi la Lamadi na mmoja baada ya mwingine huku akitambulishwa.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipata picha ya pamoja na Mawaziri wake, Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Viongozi wa Benki ya Azania Tawi la Lamadi mara baada ya shughuli ya uzinduzi kukamilika.
Picha ya Rais Jk na wafanyakazi wa Benki ya Azania Tawi la Lamadi.
Jengo la Benk ya Azania lililofunguliwa na Rais Dkt. Jakaya Kikwete Mkoa Simiyu tarehe 01/12/2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...