Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amewasihi madereva wa vyombo vya moto kuepuka tabia za jeuri na kiburi wawapo barabarani, kwani hali hiyo inaweza kusababisha mauti na upotevu wa mali.
Katambi alitoa wito huo leo Jumamosi, Juni 21, 2025 kwa niaba ya Waziri Mkuu, Kassim Majali, alipokuwa akizungumza katika kongamano la kitaifa la madereva la kumpongeza na kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio ya sekta ya usafirishaji nchini, lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Video na Khatibu Mgeja. …...more
...more
Show less