Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
RAIS SAMIA AKIWA NA KADI YAKE YA KUPIGA KURA, 'UCHAGUZI'
183Likes
11,132Views
May 172025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionyesha kadi yake ya mpiga kura mara baada ya kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

Millard Ayo

5.74M subscribers