Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni
14Likes
1,851Views
May 152025
Mwanafunzi huyo wa mwaka wa pili katika idara ya mazoezi kwa tiba, anadaiwa kujiua Mei 13, 2025 kwa kutumia waya aliofunga kwenye dirisha la choo alichokuwa akitumia.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers