Vatican. Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Leo XIV amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ikiwa ni simu ya kwanza kuzungumza na kiongozi wa kitaifa tangu achaguliwe katika wadhfa huo.
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 12, 2025, Papa Leo na Zelensky wamezungumzia mapendekezo ya usitishaji mapigano kati yake na Rais wa Russia, Vladimir Putin.
Akizungumzia simu hiyo, Zelensky amesema kupitia akaunti yake ya Mtandao wa Telegram amesema mazungumzo yake ya kwanza na Papa huyo mpya yalikuwa yenye tija na maana kwenye ustawi wa raia wa Ukraine.
Video na Hellen Mdinda. …...more
...more
Show less