Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
ALICHOKIFANYA RAIS MWINYI MSIBANI KWA CHARLES HILLARY
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ni moja kati ya waombolezaji waliofika katika msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary. Charles amefariki dunia alfajiri ya leo Jumapili Mei 11, 2025 jijini Dar es Salaam baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Mwananchi Digital

1.17M subscribers
Chat Replay is disabled for this Premiere.