Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
MPASUKO CHADEMA, SALUM MWALIMU ATANGAZA KUONDOKA CHADEMA, HAKUNA CHA......
9Likes
2,553Views
May 72025
liyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu ametangaza rasmi uanachama wake ndani ya chama hicho umekoma na ameongeza kuanzia leo amatafakari namna gani anajipanga kuendeleza siasazake. "Nimekaa Chadema miaka 17, nashauri hawanisikilizi kila nikiwafuata ni No reforms no elections, sasa sisi ni watu wazima, tumevumilia tumechoka ndani ya Chadema hakuna kinachoendelea," amesema. Amesema ndani ya Chadema kuna anguko tena la makusudi na kutaka kuzima ndoto na matumaini ya watu wengine.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers