Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
VIDEO: WANANCHI WALIVYOKUWA WAKIANDAMANA WAKAMATWA NA POLISI WAKATI WA MAANDAMANO
96Likes
31,672Views
2024Feb 21
Wakazi wa Magugu Wilayani Babati Mkoani Manyara wameandamana na kufunga barabara kuu ya Babati - Arusha na kusababisha abiria wanaoenda Mikoa mbalimbali kukwama kwa zaidi ya saa nne sasa. Wananchi hao wameandamana baada ya kutokea tukio la mauaji ya Mtoto mdogo Maria Chacha mwenye miaka 7 ambaye aliuawa kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwililiwili. Wananchi hao wanashinikiza kuachiliwa kwa Mtuhumiwa wa mauaji ambaye anashikiliwa na Polisi ambapo wanataka wajichukulie sheria mkononi kwa kumuadhibu wao wenyewe.

Follow along using the transcript.

Millard Ayo

5.74M subscribers