Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
VIDEO: RAIS SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA UDSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, siku ya Leo ameshiriki mahafali ya 52 ya duru ya tano katika chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika mahafali hayo, Rais Samia ametunukiwa shahada ya udaktari wa falsafa wa heshima ikiwa ni Shahada katika udaktari wa juu katika humanitia na sayansi jamii. Shahada hiyo hutunukiwa mtu ambaye amekuwa na mchango wa juu katika nyanja za elimu, afya na haki za binadamu.

Follow along using the transcript.

Millard Ayo

5.74M subscribers
Chat Replay is disabled for this Premiere.