Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
RAIS WA YANGA HERSI SAID AMPA POLE KAMWE KUFIWA NA MTOTO "TUNAJIPANGA KOMBE LA SHIRIKISHO"
Kikosi cha Yanga SC kimewasili leo jijini Dar es Salaam kikitokea Khartoum Sudan ambapo ilikwenda kucheza mchezo wa marudiano wa round ya kwanza dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Yanga wameondolewa kwa kufungwa goli 1-0 hivyo wameaga michuano hiyo kwa aggregate ya 2-1, Yanga wanarejea Dar es Salaam wakisubiria kucheza play off ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya November 2 & 9 2022.

Follow along using the transcript.

Millard Ayo

5.74M subscribers
Chat Replay is disabled for this Premiere.