Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
KWA MARA YA KWANZA CDF MPYA AZUNGUMZA MBELE YA WAZIRI WA ULINZI, WAZINDUA KITABU
Usiku huu kwa mara ya kwanza CDF Jacob Mkunda ameshiriki uzinduzi wa kitabu cha miaka 41 ya SUMA JKT na kupata nafasi ya kuzumgumza machache ambapo ameelezea kwa ufupi sababu za kuanzishwa kwa SUMA JKT. "Lengo kubwa la kuanzishwa kwa shirika letu la uzalishaji mali la jeshi la kujenga Taifa yaani SUMA JKT ambapo leo tunasherekea miaka 41 tangu kuanzishwa kwake ni uzalishaji mali wa faida na hivyo kuipunguzia serikali gharama ya malezi ya vijana wanaojiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa"

Follow along using the transcript.

Millard Ayo

5.74M subscribers