Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
KOCHA BAHATI WA BIASHARA AFUNGUKA, WALIANZA KWA UWOGA DHIDI YA SIMBA WAKAFUNGWA TATU ZA MAPEMA.
Simba SC wamepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Biashara United ya Musoma mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba SC wanapata ushindi huu baada ya mchezo wao wa kwanza kule Musoma kulazimishwa sare ya 0-0.

Millard Ayo

5.74M subscribers