Home
Unlabelled
vikwangua anga vyaendelea kula mbavu za mbwa jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vikwangua anga vitakuwa na maana zaidi pale ambapo miundombinu kama maji, umeme, barabara na udhibiti wa maji taka na takataka vitazingatiwa pia.
ReplyDeleteDu Ubungo imekua town pia si mchezo bongo oyeeee,Keshokutwa Tandika nayo itakua kama hivi
ReplyDelete
ReplyDeletehakuna lolote mji ukisha kosa proper town planning kwisha kazi am sure Dar es salaam ingepata wafanya kazi wa Ministry of Land ya Singapore basi tungekua tunaongea mengine
watu wanataka vikwangua hapa???Baka alilotupa mkoloni bado lipo naisi.
ReplyDeleteWatu wanahitaji kazi na sio vikwangua anga.
ndio maana Ntwara wanaandamana...
ReplyDeleteVikwangua anga vilivyozungukwa Uchafu kila kona?.Kuna wakati serikali(Rais na makamu wake) ilipiga marufuku mifuko ya plastiki,lakini bado hii mifuko inachangia kwa asilimia kubwa kuchafua jiji la Daresalaam.
ReplyDeleteDavid V
havina maana bila town planning (kufuata ramani ya mpangilio wa mji)
ReplyDelete