Meneja Mradi wa Swiss Tropical Public Health Institute (TPHI) Bw. Reinhold Werlein (katikati) akitoa ufafanuzi wa jukumu la taasisi yake  katika mkutano wa kusaini Mkataba wa kuunda Mfumo wa Kutoa Huduma za Kitabibu kwa Njia ya Electroniki kati ya Serikali na taasisi yake uliofanyika ukumbi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo. Kulia kwake ni Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi na kushoto kwake ni Mtaalamu wa TEHAMA wa TPHI Bw.Marc Bruner.
 Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi  (kushoto) na Meneja Mradi wa Kampuni itakayotoa Ushauri Elekezi (Consultancy) ya Tropical Public Health Institute Bw. Reinhold Werlein wakisaini mkataba wa Kuunda Mfumo wa Kutoa Huduma za Kitabibu kwa njia ya Elektroniki katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo.
 Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi (katikati),Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt.Marina Njelekela (kulia) na Meneja Mradi wa kampuni ya Swiss Tropical Public Health Institute (Consultancy Company) wakisaini mkataba wa Kuunda Mfumo wa Kutoa Huduma za Kitabibu kwa Njia ya Elektroniki  katika ukumbi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo.Waliosimama ni wataalamu wa masuala ya Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
 Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi (kushoto) akikabidhi mkataba wa kuunda Mfumo  wa Kutoa Huduma za Kitabibu kwa njia ya Elektroniki kwa Meneja Mradi wa Swiss Tropical Public Health InstituteBw.Reinhold Werlein katika ukumbi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo.
Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi akikabidhiwa mkataba wa Kuunda Mfumo wa Kutoa Huduma za Kitabibu kwa njia ya Elektroniki na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt.Marina Njelekela (wa kwanza kushoto) na Meneja Mradi wa Swiss Tropical Public Health Institute Bw.Reinhold Werlein (katikati) katika ukumbi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Picha na Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...