Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimkabidhi Ofisi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora. Makabidhiano hayo yamefanyika  katika ofisi ya wizara Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo. Awali Prof. Faustine Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu - Mawasiliano.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...