Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji mhe. Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendegu alipomtembelea leo ofisini kwake kabla ya kuanza ziara yake mkoani humo.
Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji mhe. Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akutana na kaimu mkurugenzi wa bodi ya korosho Tanzania Bw. Hassan M. Jarufu. Katibu mkuu yuko katika ziara ya kusikiliza changamoto za korosho, maghala, vipimo na masoko mkoani mtwara.
Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji Mhe. Prof. Adolf Mkenda akikagua karakana ya ukaguzi wa mizani katika ofisi ya Wakala wa Vipimo Mkoani Mtwara.
Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji mhe. Prof. Adolf Mkenda akikagua ghala la kuhifadhia korosho za wakulima lililopo mkoani mtwara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...