Ni uzinduzi wa album mbili, zenye mchanganyiko wa nyimbo za kihaya,ZIJULIKANAZO KAMA Vol: 1-YESU NI MWEMA na nyingine ni Vol: 5 -NAKUSHUKURU MUNGU.Ukipata tangazo hili USISITE KUMJULISHA MWINGINE.
Ni tarehe. 5/5/2013, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam.Katika uzinduzi huu watapambwa na waimbaji mahiri wa nyimbo za dini kama:- 
Kwaya ya Mt. Kizito- Makubuli, Kwaya ya AIC Chang'ombe
Upendo Nkone, KAKAU Band toka Bukoba.
Emmanuel Mugaya "Masanja Mkandamizaji".
Kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo: Single size ticket (mtu mmoja) -15,000, Family size ticket (Watu 4) -50,000, Special seats (Wa5) 100,000, Watoto 5,000
WATU WOTE MNAKARIBISHWA TUMTUKUZE MUNGU KWA NYIMBO!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...