General
- Name
 - Mtibwa Sugar FC
 
- Region
 - Morogoro
 
About3
    Historia fupi ya Mtibwa
                17 years ago
            
            Mtibwa Sugar Sports Club inayopatikana katika wilaya ya Mvomero takribani kilomota mia moja (100) kutoka Morogoro mjini ilianzishwa na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa. Madhumuni ya awali ilikuwa kushiriki ligi katika ngazi ya wilaya na kutoa burudani kwa wafanyakazi.
Mnamo mwaka 1989 timu ya mpira wa miguu ya mtibwa Sugar ilianza kushiriki ligi daraja la nne (4th division league) na kupanda ngazi kwa ngazi  hadi daraja la kwanza mnamo mwaka 1996. Mashindano ya ligi daraja la kwanza yaliyobadilishwa jina na kuwa ligi kuu mwaka 1998.
Kikosi cha mtibwa sugar kwa hivi sasa kinanolewa na mpashamisuli maarufu nchini, kocha mwenye jina kubwa katika medani ya mpira katika ukanda wa Afrika mashariki na kati Abdallah kibadeni “King Mputa” akisaidiwa na Patrick Mwangata
                        Mtibwa Club History
                17 years ago
            
            Mtibwa Sugar Sports Club which is located in Mvomero district about 100 kms from Morogoro region, was formed in 1988 by a group of workers of Mtibwa Sugar Estates Ltd who decided to form a football team which will take part in league competitions in district level. The team started playing in 4th division league in 1989 and steadily climbed up the ladder of success which saw the team finally getting a promotion to first division league in 1996. The league was restructured in 1998 and became Premier League Division.
Mtibwa Sugar which is currently coached by former national team player and coach, the legendary Abdallah Kibaden ‘King’, reigns second in the ongoing premier league with 23 points, one point behind the leaders Tanzania Prisons FC.
                        Kikosi cha Mtibwa Sugar FC - 2007
                18 years ago
            
            GK Mengi Matunda 
DF Dickson Daudi 
DF Issa Kassim 
DF Geoffrey Magori 
DF Mecky Maxime 
DF Ibrahim Mwaipopo 
DF Salum Swedi 
MF Shaban Nditi 
MF Nizar Khalfan 
FW Abdallah Juma 
FW Kudra Omari 
FW Monja Liseki 
FW Omari Matuta
                    Contacts
- P.O. Box 42
 - Mtibwa
 - http://mtibwasugar.com/en/index.html
 - 232620019